Maelezo ya Chini
a Baadhi ya visababishi vya wanawake kutoweza kuzaa ni tatizo kwenye mfumo wa kutokeza yai, mirija ya kupeleka yai kwenye tumbo la uzazi, au kuwepo kwa utando wa tumbo la uzazi mahali pasipofaa. Mara nyingi, hali ya kutoweza kuzaa miongoni mwa wanaume husababishwa na kuwa na shahawa kidogo au ukosefu wa shahawa kabisa.