30 Halafu Musa akachukua kiasi kidogo cha mafuta yanayotumiwa kutia mafuta+ na kiasi kidogo cha damu iliyokuwa kwenye madhabahu, akamnyunyizia Haruni na mavazi yake na pia wanawe na mavazi yao. Basi akamtakasa Haruni na mavazi yake na pia wanawe+ na mavazi yao.+