-
1 Samweli 26:8, 9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Ndipo Abishai akamwambia Daudi: “Leo Mungu amemtia adui yako mikononi mwako.+ Na sasa tafadhali, acha nimpigilie ardhini kwa mkuki mara moja tu, wala sitafanya hivyo mara mbili.” 9 Hata hivyo, Daudi akamwambia Abishai: “Usimdhuru, kwa maana ni nani anayeweza kuinua mkono wake dhidi ya mtiwa-mafuta wa Yehova+ na asiwe na hatia?”+
-