-
Isaya 56:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Nitawapa mnara wa ukumbusho na jina katika nyumba yangu na katika kuta zangu,
Jambo bora kuliko wana na mabinti.
Nitawapa jina linalodumu milele,
Ambalo halitaangamia.
-