Zaburi 33:2, 3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mshukuruni Yehova kwa kinubi;Mwimbieni sifa* kwa kinanda chenye nyuzi kumi. 3 Mwimbieni wimbo mpya;+Pigeni nyuzi kwa ustadi, na kupaza sauti kwa shangwe.
2 Mshukuruni Yehova kwa kinubi;Mwimbieni sifa* kwa kinanda chenye nyuzi kumi. 3 Mwimbieni wimbo mpya;+Pigeni nyuzi kwa ustadi, na kupaza sauti kwa shangwe.