-
Waroma 12:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Kwa maana kupitia fadhili isiyostahiliwa niliyopewa naambia kila mtu huko miongoni mwenu asijifikirie mwenyewe zaidi kuliko ilivyo lazima kufikiri; bali afikiri ili awe na akili timamu, kila mmoja kama vile Mungu amemgawia kipimo cha imani.
-