-
Mathayo 5:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Pia, ikiwa mkono wako wa kuume unakufanya ukwazike, ukatilie mbali na kuutupilia mbali nawe. Kwa maana ni manufaa zaidi kwako kimoja cha viungo vyako kipotee kuliko mwili wako wote kuanguka katika Gehena.
-