-
Matendo 10:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa hiyo Petro akashuka kutoka ghorofani mpaka kwa wanaume hao na kusema: “Tazameni! Mimi ndiye mnayetafuta. Kwa nini mko hapa?”
-
-
Matendo 10:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Kwa hiyo Petro akashuka orofani hadi kwa hao wanaume na kusema: “Tazameni! Mimi ndiye mnayetafuta sana. Ni nini sababu ya nyinyi kuwapo hapa?”
-