Mwanzo 6:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Utaifanyia safina tsohari [paa; au, dirisha], nawe utaikamilisha kiasi cha mkono mmoja kwenda juu, na mwingilio wa safina utauweka katika ubavu+ wake; utaifanya ikiwa na ghorofa ya chini, ghorofa ya pili na ghorofa ya tatu.
16 Utaifanyia safina tsohari [paa; au, dirisha], nawe utaikamilisha kiasi cha mkono mmoja kwenda juu, na mwingilio wa safina utauweka katika ubavu+ wake; utaifanya ikiwa na ghorofa ya chini, ghorofa ya pili na ghorofa ya tatu.