Waamuzi 19:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Ndipo suria wake akaanza kufanya uasherati+ dhidi yake. Mwishowe suria huyo akamwacha, akaenda nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu katika Yuda, akaendelea kukaa huko miezi minne kamili.
2 Ndipo suria wake akaanza kufanya uasherati+ dhidi yake. Mwishowe suria huyo akamwacha, akaenda nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu katika Yuda, akaendelea kukaa huko miezi minne kamili.