-
Yoshua 8:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Na ikawa kwamba Israeli walipokuwa wakimaliza kuwaua wakaaji wote wa Ai uwanjani, katika nyika ambamo walikuwa wamewafuatilia, wote waliendelea kuanguka, kwa makali ya upanga mpaka walipokwisha. Kisha Israeli wote wakarudi Ai na kulipiga kwa makali ya upanga.
-