4 Hata hivyo, mfalme wa Ashuru akatambua kuna hila+ ndani ya Hoshea, kwa vile alikuwa ametuma wajumbe kwa So mfalme wa Misri+ naye hakuleta ushuru kwa mfalme wa Ashuru kama katika miaka ya hapo mwanzoni. Basi mfalme wa Ashuru akamfungia ndani na kuendelea kumfunga kifungoni.+