1 Wafalme 11:31 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 31 Naye akamwambia Yeroboamu: “Chukua wewe vipande kumi; kwa maana Yehova Mungu wa Israeli amesema hivi, ‘Tazama, ninaurarua ufalme kutoka mkononi mwa Sulemani, nami hakika nitakupa wewe makabila kumi.+
31 Naye akamwambia Yeroboamu: “Chukua wewe vipande kumi; kwa maana Yehova Mungu wa Israeli amesema hivi, ‘Tazama, ninaurarua ufalme kutoka mkononi mwa Sulemani, nami hakika nitakupa wewe makabila kumi.+