Hesabu 22:31 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 31 Na Yehova akafungua macho+ ya Balaamu, naye akamwona malaika wa Yehova amesimama katika barabara na upanga wake uliochomolewa ukiwa mkononi mwake. Mara moja akainama chini na kujilaza kifudifudi.
31 Na Yehova akafungua macho+ ya Balaamu, naye akamwona malaika wa Yehova amesimama katika barabara na upanga wake uliochomolewa ukiwa mkononi mwake. Mara moja akainama chini na kujilaza kifudifudi.