-
Kumbukumbu la Torati 21:16, 17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 siku atakapowapa wanawe urithi wake, hataruhusiwa kumtendea mwana wa mwanamke anayependwa kana kwamba ndiye mzaliwa wake wa kwanza na kumpuuza mwana wa mwanamke asiyependwa sana, ambaye ndiye mzaliwa wa kwanza. 17 Anapaswa kumtambua mwana wa mwanamke asiyependwa sana kuwa mzaliwa wa kwanza kwa kumpa maradufu ya kila kitu alicho nacho, kwa sababu mwana huyo ndiye mwanzo wa nguvu zake za uzazi. Haki ya mzaliwa wa kwanza ni yake.+
-