-
Kutoka 26:22-25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Utatengeneza viunzi sita sehemu ya nyuma ya hema la ibada, upande wa magharibi.+ 23 Nawe utatengeneza viunzi viwili viwe mihimili miwili ya pembeni upande wa nyuma wa hema la ibada. 24 Katika pembe zote mbili kutakuwa na viunzi viwili kuanzia sehemu ya chini mpaka sehemu ya juu, kwenye pete ya kwanza. Hivyo ndivyo utakavyotengeneza viunzi vyote viwili; vitakuwa mihimili miwili ya pembeni. 25 Kutakuwa na viunzi vinane na vikalio vyake 16 vya fedha, vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja na vikalio viwili chini ya kila kiunzi kinachofuata.
-