-
Kutoka 29:19, 20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 “Kisha utamchukua kondoo dume wa pili, na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha kondoo huyo.+ 20 Mchinje kondoo dume huyo na uchukue kiasi fulani cha damu yake na kuipaka kwenye ncha ya sikio la kulia la Haruni na kwenye ncha za masikio ya kulia ya wanawe na kwenye vidole gumba vya mikono yao ya kulia na kwenye vidole gumba vya miguu yao ya kulia, nawe unyunyize damu pande zote za madhabahu.
-