-
Mambo ya Walawi 9:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Lakini utawaambia Waisraeli ‘Chukueni mbuzi dume kwa ajili ya dhabihu ya dhambi na ndama na mwanakondoo dume, wote wa umri wa mwaka mmoja na wasio na kasoro, kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa,
-
-
Mambo ya Walawi 9:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kisha akatoa dhabihu kwa ajili ya watu; akamchukua yule mbuzi wa dhabihu ya dhambi aliyepaswa kutolewa kwa ajili ya watu, akamchinja na kutoa dhabihu ya dhambi kama alivyofanya kwa yule wa kwanza.
-