3 Msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Misri ambako mliishi, wala msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Kanaani ambako nawapeleka.+ Msifuate sheria zao.
30 jihadharini msinaswe baada ya mataifa hayo kuangamizwa kutoka mbele yenu. Msiulize hivi kuhusu miungu yao: ‘Mataifa haya yaliabuduje miungu yake? Mimi pia nitafanya vivyo hivyo.’+