-
Mambo ya Walawi 16:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Mtu atakayeteketeza vitu hivyo anapaswa kufua mavazi yake na kuoga kwenye maji, kisha anaweza kurudi kambini.
-
-
Hesabu 19:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha kuhani atafua mavazi yake na kuoga kwenye maji, halafu anaweza kurudi kambini; lakini kuhani huyo hatakuwa safi mpaka jioni.
-