Hosea 14:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Ni nani aliye na hekima? Na aelewe mambo haya. Ni nani aliye na busara? Na ayajue mambo hayo. Kwa maana njia za Yehova zimenyooka,+Na waadilifu watatembea katika njia hizo;Lakini watenda dhambi watajikwaa humo.
9 Ni nani aliye na hekima? Na aelewe mambo haya. Ni nani aliye na busara? Na ayajue mambo hayo. Kwa maana njia za Yehova zimenyooka,+Na waadilifu watatembea katika njia hizo;Lakini watenda dhambi watajikwaa humo.