Mambo ya Walawi 11:2, 3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 “Waambieni Waisraeli, ‘Hawa ndio wanyama wa nchi kavu mnaoweza kula:+ 3 Mnaweza kumla kila mnyama mwenye kwato zilizopasuka na zilizogawanyika anayecheua.
2 “Waambieni Waisraeli, ‘Hawa ndio wanyama wa nchi kavu mnaoweza kula:+ 3 Mnaweza kumla kila mnyama mwenye kwato zilizopasuka na zilizogawanyika anayecheua.