7 Yosia akawachangia watu wote waliokuwepo makundi ya kondoo na mbuzi, wanakondoo dume na wanambuzi dume, kwa ajili ya dhabihu za Pasaka, jumla ya wanakondoo na wanambuzi 30,000, na pia ng’ombe 3,000. Wanyama hao walitolewa katika mali za mfalme mwenyewe.+