-
Hesabu 35:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Mtapima nje ya jiji mikono 2,000 upande wa mashariki, mikono 2,000 upande wa kusini, mikono 2,000 upande wa magharibi, na mikono 2,000 upande wa kaskazini; jiji litakuwa katikati. Hayo ndiyo yatakayokuwa malisho ya majiji yao.
-