Yoshua 5:8, 9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Walipomaliza kutahiri taifa lote, wakaendelea kukaa kambini mpaka walipopona. 9 Kisha Yehova akamwambia Yoshua: “Leo nimewaondolea aibu ya Misri.” Basi tangu wakati huo mahali hapo panaitwa Gilgali.*+
8 Walipomaliza kutahiri taifa lote, wakaendelea kukaa kambini mpaka walipopona. 9 Kisha Yehova akamwambia Yoshua: “Leo nimewaondolea aibu ya Misri.” Basi tangu wakati huo mahali hapo panaitwa Gilgali.*+