Waamuzi 8:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi Zeba na Zalmuna walikuwa Karkori pamoja na wanajeshi wao wapatao 15,000. Hao tu ndio waliobaki wa jeshi lote la watu wa Mashariki,+ kwa kuwa wenzao 120,000 waliotumia upanga waliuawa.
10 Basi Zeba na Zalmuna walikuwa Karkori pamoja na wanajeshi wao wapatao 15,000. Hao tu ndio waliobaki wa jeshi lote la watu wa Mashariki,+ kwa kuwa wenzao 120,000 waliotumia upanga waliuawa.