-
Waamuzi 16:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 (Basi nyumba hiyo ilikuwa imejaa wanaume na wanawake. Na watawala wote wa Wafilisti walikuwemo, na darini kulikuwa na watu wapatao 3,000, wanaume na wanawake, waliokuwa wakimtazama Samsoni akiwatumbuiza.)
-