-
2 Wafalme 17:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Yehova aliwakataa wazao wote wa Israeli, akawaaibisha na kuwatia mikononi mwa waporaji, mpaka alipowatupa mbali kutoka mbele zake.
-
-
Zaburi 106:40, 41Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Kwa hiyo hasira ya Yehova ikawaka dhidi ya watu wake,
Naye akauchukia sana urithi wake.
-