2 Samweli 18:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Kisha mfalme akampa agizo hili Yoabu, Abishai, na Itai: “Mtendeeni kwa upole kijana Absalomu kwa ajili yangu.”+ Wanaume wote walimsikia mfalme akiwapa wakuu wote agizo hilo kuhusu Absalomu.
5 Kisha mfalme akampa agizo hili Yoabu, Abishai, na Itai: “Mtendeeni kwa upole kijana Absalomu kwa ajili yangu.”+ Wanaume wote walimsikia mfalme akiwapa wakuu wote agizo hilo kuhusu Absalomu.