-
1 Wafalme 1:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mwishowe Adoniya akawatoa dhabihu+ kondoo, ng’ombe, na wanyama waliononeshwa, kando ya jiwe la Zohelethi, lililo karibu na En-rogeli, akawaalika ndugu zake wote wana wa mfalme, na wanaume wote wa Yuda watumishi wa mfalme. 10 Lakini hakumwalika nabii Nathani, Benaya na wale mashujaa hodari, wala Sulemani ndugu yake.
-