-
1 Wafalme 20:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Sasa Ben-hadadi akamwambia: “Majiji ambayo baba yangu alichukua kutoka kwa baba yako nitayarudisha, nawe unaweza kujianzishia masoko* Damasko, kama baba yangu alivyofanya Samaria.”
Ahabu akamwambia, “Kwa msingi wa makubaliano haya,* nitakuruhusu uende.”
Basi akafanya makubaliano naye na kumruhusu aende zake.
-