-
1 Wafalme 14:2, 3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Kwa hiyo Yeroboamu akamwambia mke wake: “Tafadhali, inuka, badili sura yako ili watu wasitambue kwamba wewe ni mke wa Yeroboamu, halafu uende Shilo. Tazama! Nabii Ahiya yuko huko. Yeye ndiye aliyesema kwamba mimi nitakuwa mfalme wa watu hawa.+ 3 Chukua mikate kumi, keki zilizonyunyiziwa kitu, na chupa ya asali, uende kwake. Kisha atakwambia kitakachompata mvulana huyu.”
-