Mwanzo 10:8, 9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Kushi akamzaa Nimrodi. Nimrodi ndiye aliyekuwa shujaa wa kwanza duniani. 9 Alikuwa mwindaji hodari aliyempinga Yehova. Ndiyo sababu kuna msemo usemao: “Kama Nimrodi, mwindaji hodari aliyempinga Yehova.”
8 Kushi akamzaa Nimrodi. Nimrodi ndiye aliyekuwa shujaa wa kwanza duniani. 9 Alikuwa mwindaji hodari aliyempinga Yehova. Ndiyo sababu kuna msemo usemao: “Kama Nimrodi, mwindaji hodari aliyempinga Yehova.”