Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 26:3-5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kaa kama mgeni katika nchi hii,+ nami nitaendelea kuwa pamoja nawe na kukubariki kwa sababu nitakupa wewe na uzao wako* nchi zote hizi,+ nami nitatimiza kiapo hiki nilichomwapia Abrahamu baba yako:+ 4 ‘Nitaufanya uzao* wako uwe mwingi kama nyota za mbinguni;+ nami nitaupa uzao* wako nchi zote hizi;+ na kupitia uzao* wako mataifa yote ya dunia yatajipatia baraka,’+ 5 kwa sababu Abrahamu aliisikiliza sauti yangu na kuendelea kutii matakwa yangu, amri zangu, maagizo yangu, na sheria zangu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki