-
1 Mambo ya Nyakati 11:23, 24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Alimuua pia mwanamume Mmisri aliyekuwa mkubwa isivyo kawaida—mwenye urefu wa mikono mitano.*+ Ingawa Mmisri huyo alikuwa na mkuki mkononi kama mti wa wafumaji wa nguo,+ Benaya alikabiliana naye akiwa na fimbo, akamnyang’anya Mmisri huyo mkuki kutoka mkononi mwake na kumuua kwa mkuki wake mwenyewe.+ 24 Benaya mwana wa Yehoyada alifanya mambo hayo, naye alikuwa maarufu kama wale mashujaa watatu hodari.
-