-
1 Wafalme 6:31, 32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Na aliitengeneza milango ya chumba cha ndani zaidi kwa mbao za msonobari, na pia nguzo za pembeni, na miimo yake, ikiwa sehemu ya tano.* 32 Alitengeneza milango hiyo miwili kwa mbao za msonobari, na kwenye milango hiyo alichonga makerubi, mitende, na maua yaliyochanua, kisha akaifunika kwa dhahabu; akawafunika makerubi hao na mitende hiyo kwa dhahabu akitumia nyundo.
-