9 Jihadharini wazo hili ovu lisiingie mioyoni mwenu: ‘Mwaka wa saba, mwaka wa kufuta madeni, umekaribia,’+ na hivyo mkatae kumtendea kwa ukarimu ndugu yenu aliye maskini na kukosa kumpa chochote. Akimlilia Yehova kuwahusu ninyi, mtakuwa mmetenda dhambi.+