-
Ezra 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Katika mwaka wa pili tangu walipofika kwenye nyumba ya Mungu wa kweli huko Yerusalemu, katika mwezi wa pili, Zerubabeli mwana wa Shealtieli, Yeshua mwana wa Yehosadaki na ndugu zao wote, makuhani na Walawi, na wale wote waliorudi Yerusalemu kutoka utekwani+ wakaanza kazi; wakawaweka rasmi Walawi kuanzia umri wa miaka 20 na zaidi wawe wasimamizi wa kazi ya nyumba ya Yehova.
-