Kumbukumbu la Torati 32:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kwa maana hasira yangu imewasha moto+Ambao utateketeza mpaka kwenye kina cha Kaburi,*+Nao utateketeza dunia na mazao yakeNa kuchoma moto misingi ya milima. Nahumu 1:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Ni nani anayeweza kusimama mbele ya hasira yake kali?+ Na ni nani anayeweza kustahimili joto la hasira yake?+ Ghadhabu yake itamwagwa kama moto,Na miamba itavunjika-vunjika kwa sababu yake.
22 Kwa maana hasira yangu imewasha moto+Ambao utateketeza mpaka kwenye kina cha Kaburi,*+Nao utateketeza dunia na mazao yakeNa kuchoma moto misingi ya milima.
6 Ni nani anayeweza kusimama mbele ya hasira yake kali?+ Na ni nani anayeweza kustahimili joto la hasira yake?+ Ghadhabu yake itamwagwa kama moto,Na miamba itavunjika-vunjika kwa sababu yake.