16 Shadraki, Meshaki, na Abednego wakamjibu mfalme: “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kukujibu kuhusiana na jambo hili. 17 Ikiwa ni lazima iwe hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia anaweza kutuokoa kutoka katika tanuru hilo lenye moto mkali, Ee mfalme, na kutuokoa kutoka mikononi mwako.+