Amosi 6:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Vukeni mwende Kalne mkaone. Tokeni huko mwende katika Jiji Kubwa la Hamathi,+Na mteremke mpaka jiji la Gathi la Wafilisti. Je, majiji hayo ni bora kuliko falme hizi,*Au je, eneo lao ni kubwa kuliko lenu?
2 Vukeni mwende Kalne mkaone. Tokeni huko mwende katika Jiji Kubwa la Hamathi,+Na mteremke mpaka jiji la Gathi la Wafilisti. Je, majiji hayo ni bora kuliko falme hizi,*Au je, eneo lao ni kubwa kuliko lenu?