Isaya 58:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 58 “Ita kwa sauti yote kutoka kooni; usijizuie! Paza sauti yako kama pembe. Watangazie watu wangu uasi wao,+Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.
58 “Ita kwa sauti yote kutoka kooni; usijizuie! Paza sauti yako kama pembe. Watangazie watu wangu uasi wao,+Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.