Isaya 24:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Nchi inaomboleza;*+ inadhoofika. Nchi inayozaa inanyauka; inafifia. Watu mashuhuri wa nchi wananyauka. Yoeli 1:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Mashamba yameharibiwa, ardhi inaomboleza;+Kwa kuwa nafaka imeharibiwa, divai mpya imekauka, mafuta yametoweka.+
4 Nchi inaomboleza;*+ inadhoofika. Nchi inayozaa inanyauka; inafifia. Watu mashuhuri wa nchi wananyauka.
10 Mashamba yameharibiwa, ardhi inaomboleza;+Kwa kuwa nafaka imeharibiwa, divai mpya imekauka, mafuta yametoweka.+