Maombolezo 1:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Uovu wao wote na uje mbele zako, na uwatese vikali,+Kama tu ulivyonitesa vikali kwa sababu ya dhambi zangu zote. Kwa maana vilio vyangu vya uchungu ni vingi, na moyo wangu ni mgonjwa.
22 Uovu wao wote na uje mbele zako, na uwatese vikali,+Kama tu ulivyonitesa vikali kwa sababu ya dhambi zangu zote. Kwa maana vilio vyangu vya uchungu ni vingi, na moyo wangu ni mgonjwa.