Yeremia 4:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Sasa kwa kuwa umeangamizwa, utafanya nini? Ulikuwa ukivaa nguo nyekundu,Ukijipamba kwa mapambo ya dhahabu,Na kupanua macho yako kwa kuyapaka rangi nyeusi.* Lakini ulijirembesha bure,+Kwa maana waliokutamani wamekukataa;Sasa wanataka kukuua.+ Ezekieli 16:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 kwa hiyo ninawakusanya pamoja wapenzi wote ambao umewapa raha, wote uliowapenda na wote uliowachukia. Nitawakusanya pamoja dhidi yako kutoka pande zote na kuwafunulia uchi wako, nao watakuona ukiwa uchi kabisa.+
30 Sasa kwa kuwa umeangamizwa, utafanya nini? Ulikuwa ukivaa nguo nyekundu,Ukijipamba kwa mapambo ya dhahabu,Na kupanua macho yako kwa kuyapaka rangi nyeusi.* Lakini ulijirembesha bure,+Kwa maana waliokutamani wamekukataa;Sasa wanataka kukuua.+
37 kwa hiyo ninawakusanya pamoja wapenzi wote ambao umewapa raha, wote uliowapenda na wote uliowachukia. Nitawakusanya pamoja dhidi yako kutoka pande zote na kuwafunulia uchi wako, nao watakuona ukiwa uchi kabisa.+