27 “‘Mtu yeyote miongoni mwa watu walio nchini akitenda dhambi bila kukusudia na hivyo kuwa na hatia ya kufanya jambo lolote ambalo Yehova ameamuru lisifanywe,+ 28 au akigundua dhambi aliyotenda, basi atamleta mwanambuzi jike asiye na kasoro ili atolewe dhabihu kwa ajili ya dhambi aliyotenda.