Sefania 2:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 “Ole kwa wale wanaokaa pwani, taifa la Wakerethi!+ Neno la Yehova liko dhidi yenu. Ee Kanaani, nchi ya Wafilisti, nitakuangamiza,Hivi kwamba hakuna mkaaji atakayebaki.
5 “Ole kwa wale wanaokaa pwani, taifa la Wakerethi!+ Neno la Yehova liko dhidi yenu. Ee Kanaani, nchi ya Wafilisti, nitakuangamiza,Hivi kwamba hakuna mkaaji atakayebaki.