Mathayo 14:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Nao wakamsihi awaruhusu waguse tu upindo wa vazi lake la nje,+ na wote waliougusa wakaponywa kabisa. Marko 6:56 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 56 Na kila mahali alipokwenda katika vijiji, majiji, au mashambani watu waliwaweka wagonjwa sokoni, na kumsihi waguse tu upindo wa vazi lake la nje.+ Na wote waliougusa wakapona.
36 Nao wakamsihi awaruhusu waguse tu upindo wa vazi lake la nje,+ na wote waliougusa wakaponywa kabisa.
56 Na kila mahali alipokwenda katika vijiji, majiji, au mashambani watu waliwaweka wagonjwa sokoni, na kumsihi waguse tu upindo wa vazi lake la nje.+ Na wote waliougusa wakapona.