9 Yesu alipokuwa akiondoka mahali hapo akamwona mtu aliyeitwa Mathayo akiwa ameketi kwenye ofisi ya kodi, akamwambia: “Njoo uwe mfuasi wangu.” Mara moja akasimama na kumfuata.+
27 Baada ya mambo hayo akaenda nje na kumwona mkusanya kodi anayeitwa Lawi akiwa ameketi kwenye ofisi ya kodi, akamwambia: “Njoo uwe mfuasi wangu.”+28 Naye akasimama, akaacha kila kitu na kuanza kumfuata.