Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:51, 52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 51 Lakini tazama! mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu akanyoosha mkono wake, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio.+ 52 Ndipo Yesu akamwambia: “Rudisha upanga wako mahali pake,+ kwa maana wote wanaochukua upanga wataangamia kwa upanga.+

  • Marko 14:47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 Hata hivyo, mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo akauchomoa upanga wake, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio.+

  • Yohana 18:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Simoni Petro alikuwa na upanga, basi akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu na kumkata sikio la kulia.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko. 11 Hata hivyo, Yesu akamwambia Petro: “Rudisha upanga ndani ya ala yake.+ Je, sipaswi kukinywa kikombe ambacho Baba amenipa?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki